AGOA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameambia Marekani kuwa Uganda haihitaji Marekani kujiendeleza kiuchumi. Hii ni baada ya Marekani kutangaza kuwa itaitoa Uganda na nchi zingine tatu katika nchi zinazonufaika na mkataba wa biashara wa AGOA kuanzia Januari 2024. Marekani inapinga Uganda kupitisha sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja.
- Reporter / Journalist